MATUKIO

AJALI

Hii ni miongoni mwa ajli mbaya iliyotokea huku kwetu msoma ajali ambyo ilizihusisha gari aina ya basi ya kumpuni ya J4 na gari lingine  ambalo lilikua aina ya roli na gari dogo aina ya rava 4 mnamo mwezi wa tisa 2014 ajali ambayo mimi naamini hatuwezi kusema ni uzembe wa maderava au la kwani mimi naamini madereva wetu ni waaminifu na makini kiasi kwamba hawawezi kucheza na roho za binadamu wenzao pia ukizingatia kwa kipindi hiki ajali nyingi zimetokea hasa zikizihusisha magari aina ya mabasi na maroli jambo ambalo mimi kwangu ni swali la kujiuliza je? ni uzembe wa madereva au ni ni balaa limelikumba Taifa letu la Tanzani? 

0 comments:

Post a Comment

kwa wale ambao wanapenda kuchangia au kutoa maoni ktika maada mbalimbali tunazokua tumetoa tafadhali zingatia maadili ya maada husika
usiende kinyume na utaratibu kwani hatua kali zitachukuliwa dhidi yako.
mwisho niwatakie kila la heri na Mungu awabariki ktk kushiriki mambo mema ya ujenzi wa Taifa letu Tanzania.