HABARI

KARIBU KISUMWA IJIONEE VITU ASILIA KAMA VINANAVYOONEKANA HAPO
Nyumaba hii sehemu ya makazi ya wakazi wa Kisumwa unaweza ushangae lakini ndio hali halisi huku kwetu hizi ni nyumba zetu na ni za thamani zaidi

0 comments:

Post a Comment

kwa wale ambao wanapenda kuchangia au kutoa maoni ktika maada mbalimbali tunazokua tumetoa tafadhali zingatia maadili ya maada husika
usiende kinyume na utaratibu kwani hatua kali zitachukuliwa dhidi yako.
mwisho niwatakie kila la heri na Mungu awabariki ktk kushiriki mambo mema ya ujenzi wa Taifa letu Tanzania.