HAPPY BIRTH DAY |
Kwa wale amboa wanapenda kushiriki na marafiki zao ktk sherehe zao za birth day na sherehe nyinginezo waweza arifu ndugu na marafiki kuungana nawe siku ya sherehe kwa kupitia ukurasa huu naye antuungana nawe na kufurahi pamoja. karibuni sana kwa kujumuika nasi
0 comments:
Post a Comment
kwa wale ambao wanapenda kuchangia au kutoa maoni ktika maada mbalimbali tunazokua tumetoa tafadhali zingatia maadili ya maada husika
usiende kinyume na utaratibu kwani hatua kali zitachukuliwa dhidi yako.
mwisho niwatakie kila la heri na Mungu awabariki ktk kushiriki mambo mema ya ujenzi wa Taifa letu Tanzania.