Ungana nami Mwanaharakati wa kupigana vita dhidi ya umasikini katika jamii hasa ya vijana na Taifa kwa ujumla. "VIJANA KWA PAMOJA TUNAJENGA TAIFA MOJA LENYE NGUVU MOJA NA UMOJA WA PAMOJA"
Wakazi wa Chato, kwa mahitaji ya vinywaji Baridi fika Kwa shambani Maeneo ya Stendi ya zamani ujipatie mahitaji yako kwa Bei ya Jumla na rejreja
Kwa mahitaji ya Network Etup, Network Configuration and troubleshooting waone WAMICO ukiwa Mjini chato wapo Stendi mpya ya mabasi Muungano